Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954768.MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHI MWENGE WA UHURU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kukimbiza mwenge huo katika Mikoa na wilaya zote za Tanzania.


 

<< Back to News Archive.