Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962162.MAKAMU WA RAIS AKIHUTUBIA KATIKA UWANJA WA JAMHURI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Sherehe za uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru kitaifa zilizofanyika leo Aprili 18, 2016 katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.


 

<< Back to News Archive.