Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962206.MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu baada ya kufungua Mkutano wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.


 

<< Back to News Archive.