Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954795.NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AMPONGEZA GERTUDE CLEMENT

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement (katikati) alipotembelea Ofisi ya Makamu wa Rais. Naibu Katibu Mkuu amempongeza kwa kuiwakilisha vema Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Richard Muyungi.


 

<< Back to News Archive.