Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954710.OFISI YA MAKAMU WA RAIS YATOA MAFUNZO KWA WADAU

Ofisi ya Makamu wa Rais imeendesha mafunzo kwa wadau juu ya uwekaji wa taarifa za bioanuai katika tovuti maalumu. Wadau hao kutoka Taasisi na Idara za Serikali wamekutana kwa siku moja katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.