Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957106.MAFUNZO YAKIENDELEA

Mratibu wa Mafunzo hayo Bw. Maskat Maliwanga wa Ofisi ya Makamu wa Rais akifafanua jambo juu ya uwekaji wa taarifa za bioanuai katika tovuti maalumu. Wadau hao kutoka Taasisi na Idara za Serikali wamekutana kwa siku moja katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.