UWASILISHAJI WA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS 2016/17
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 20162017 Bungeni mjini Dodoma