Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962184.MAKAMU WA RAIS ZIARANI GEITA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene, akiwa kwenye kivuko kuelekea Geita. Wengine katika pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Nd. Mtaturu

 

 


 

<< Back to News Archive.