Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955742.MAKAMU WA RAIS BAADA YA UZINDUZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi mkaazi wa Benki ya Dunia Madame Bella Bird baada ya uzinduzi wa ripoti ya toleo la 8 kuhusu hali ya uchumi Tanzania uliofanyika  kwenye Hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.