Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 




Total site visits: 3957052.



WAZIRI MAKAMBA AHUTUBIA KATIKA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mh. January Makamba akihutubia wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliojitokeza katika viwanja vya Mwembeyanga – Temeke katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mbaraka Abdulwakil

 


 

<< Back to News Archive.