Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955726.WAZIRI MAKAMBA AKITEMBELEA MABANDA YA MAONYESHO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mh. January Makamba akimsikiliza Bw. Charles Leonard Meneja Mradi kutoka Tanzania Forest Conservation Group wakati Mh. Makamba alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika viwanja vya Mwembeyanga.


 

<< Back to News Archive.