Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960362.MAKAMU WA RAIS AKABIDHI FUTARI NA CHAKULA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kwenye basi la mwendo kasi baada ya kupanda na kujionea ubora na uzuri wa mabasi hayo ambayo yamerahisisha usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam


 

<< Back to News Archive.