Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954711.MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzana fundi wa kushona nguo mwenye ulemavu wa macho (asiyeona) ambaye anafahamika kama Mtaalamu wa kushona Tanzania Ndugu Abdallah Nyangalio, kulia ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage wakati wa maonyesho ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es salaam.


 

<< Back to News Archive.