NAIBU WAZIRI MPINA ATOA MWEZI MMOJA KWA KIWANDA CHA TWIGA CEMENT KUTATUA KERO ZINAZO WAZUNGUKA WAKAZ
Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh,luhaga Mpina (katikati)na Meneja mazingira kiwandani hapo bw. Richard Magoda akitembezwa ndani ya kiwanda baada ya kupata malalamiko ya uchafuzi wa mazingira kutoka kwa wananchi