Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010385.MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS MKUTANONI KIGALI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano wa 27 kwa Wakuu wa Nchi na Wanachama wa Umoja wa Afrika AU ulioanza jana katika Ukumbi wa KCC mjini Kigali Rwanda. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. 


 


 

<< Back to News Archive.