Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960934.MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA WAJUMBE WANAWAKE WA MKUTANO MKUU WA CCM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe Wanawake wa Mkutano Mkuu wa CCM mjini Dodoma ambapo aliwasihi kuendelea kudumisha umoja na mshikamano pamoja na kujishughulisha na shughuli mbali mbali za kiuchumi na kujiunga na Mabaraza mbali mbali ya kuwezesha wanawake.


 

<< Back to News Archive.