MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ATEMBELEA TAASISI YA SARATANI YA OCEAN ROAD
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na wananchi waliokuja kuwaona ndugu na jamaa zao ambao wamelazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.