Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954725.WAWAKILISHI NA MABALOZI WATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Finland Bw. Simo Pekla Parvianen akisaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. 


 

<< Back to News Archive.