Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954745.WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh. Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.