Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960364.WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wakijadiliana jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam. Wengine ni Maafisa toka Wizara ya mambo ya nje waliongozana na Balozi huyo.


 

<< Back to News Archive.