Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955808.MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WAKADIRIAJI MAJENZI AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Viongozi wa Chama cha Wakadiriaji majengo mara baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa Wakadiriaji Majenzi kutoka Afrika uliofanyika kwenye Hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.