Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784876.KIKAO KAZI IKULU - DAR ES SALAAM

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (wa kwanza kulia) akifuatilia mawasilisho ya mpango kazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. wengine katika picha ni Katibu wa Makamu wa Rais Bw. Waziri Rajab na Katibu wa Waziri Bw. Anorld Mapinduzi.


 

<< Back to News Archive.