Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955737.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kuhitimisha kikao cha kazi kilichodumu kwa siku mbili , kulia ni Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba


 

<< Back to News Archive.