Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962194.MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watendaji wa Idara ya Mazingira na Wakuu wa Vitengo, waliokaa pamoja na Makamu wa Rais kushoto ni Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba na kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Ndugu Mbaraka Abdulwakil.


 

<< Back to News Archive.