Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957075.MAKAMU WA RAIS AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe kutoka kampuni ya Dangote Nigeria uliomtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam, Ujumbe huo uliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Dangote Nigeria Bw. Edwin Devakumar Victor Gnanados ( wa pili kushoto) .


 

<< Back to News Archive.