Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010315.MH. MAKAMBA AKUTANA NA KAMATI YA MAZINGIRA NA KILIMO YA BUNGE LA SWEDEN

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba akiongea na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Bi. Katarina Rangnitt. Balozi huyo aliambatana na Kamati ya Mazingira na Kilimo ya   Bunge la Sweden.


 

<< Back to News Archive.