Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954770.SEHEMU YA WABUNGE KUTOKA SWEDEN

Sehemu ya wabunge kutoka Sweden wakifuatilia mazungumzo baina ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) January Makamba. Ujumbe huo wa Wabunge ulimtembelea Mh. Waziri na kujadili masuala ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira


 

<< Back to News Archive.