Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776551.NAIBU KATIBU MKUU ASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Ngosi Mwihava pamoja na Mkuu wa program ya Maji toka Ubalozi wa Ujerumani Bw. Ernst Doring wakisaini hati za makubaliano ya Serikali ya Ujerumani kuisaidia Ofisi ya Makamu wa Rais kiasi cha fedha yuro laki nne kwa ajili ya kuendesha program za mabadiliko ya tabia Nchi.


 

<< Back to News Archive.