Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960428.MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA GESI CHA MADIMBA MKOANI MTWARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kiwanda cha kuchakata gesi cha Madimba Mhandisi.Leonce namna gesi inavyopokelewa na kuchakatwa na kusafirishwa kwa watumiaji


 

<< Back to News Archive.