Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954753.UJENZI WA UKUTA WA OCEAN ROAD MBIONI KUANZA

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava  (wa kwanza kushoto) akishudia utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.  Ujenzi huo utafanywa na Kampuni ya Dezo Civil Contractors. Wengine katika picha ni wawakilishi wa Kampuni ya Dezo na Watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais. Ujenzi huo  unasimamiwa na mradi wa kuhimili mabadiliko ya Tabianchi katika Jiji la Dar es Salaam.

 


 

<< Back to News Archive.