Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955779.MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA SPIKA MSTAAFU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samuel Sitta (katikati) anayeendelea vizuri na matibabu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mke wa Mzee Sitta Mama Margaret Sitta.


 

<< Back to News Archive.