Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960366.WAZIRI MAKAMBA AWAFARIJI WAHANGA WA TETEMEKO KAGERA

WN OMR MMZ Mhe. January Makamba akimuangalia mtoto Asia zuberi aliyelazwa katika hospitali ya Mkoa wa kagera kutokana na homa ya Malaria, Mhe Makamba alitembelea wahanga wa tetemeko la ardhi hospitalini hapo, aliyekaa ni bibi wa mtoto huyo Bi Asha Rajabu.

 


 

<< Back to News Archive.