Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962124.WARSHA YA WAKUFUNZI WA VYUO VYA VETA NA MAFUNDI MCHUNDO WA VIYOYOZI NA MAJOKOFU

Kaimu wa Mkurugenzi Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi akifungua warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu juu ya ukusanyaji takwimu za matumizi ya kemikali mbadala wa kemikali. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.


 

<< Back to News Archive.