Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962181.MWAKILISHI WA FAO NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akifurahia jambo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na kilimo nchini (FAO) Bwana Fred Kafeero wakati wa mazungumzo juu ya shughuli za mazingira yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.