Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955735.Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uongozi wamtembelea na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais - Ikulu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uongozi uliomtembelea Makamu wa Rais na kuzungumza nae Ikulu jijini Dar es Salaam na kujadiliana nae masuala mbali mbali yanayohusu changamoto za mtoto wa kike na mwanamke.


 

<< Back to News Archive.