Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 




Total site visits: 3957072.



WAZIRI MAKAMBA ASISITIZA HIFADHI ENDELEVU YA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe. Waziri Makamba yuko Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku mbili


 

<< Back to News Archive.