Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010367.WAZIRI MAKAMBA AKAGUA CHANGAMOTO ZA MAZINGIRA KATAVI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akiangalia eneo lililokuwa likitumiwa na Jema Sitalike Project ambao walizuiwa kuendelea na shughuli za uchenjuaji wa dhahabu kutokana na kutokuwa na vibali. Wengine katika picha ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga


 

<< Back to News Archive.