Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4012453.MWAMKO MDOGO WA USHIRIKI WA WANANCHI SIKU YA USAFI KITAIFA MKOANI MOROGORO

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Bwana Richard Muyungi akiwa katika Manispaa ya Morogoro kata ya Kihonda, akishiriki kufanya usafi katika siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi ambayo ni siku ya usafi kwa Tanzania nzima


 

<< Back to News Archive.