Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea na Waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa shindano la kutafuta mbadala wa mkaa. Wa kwanza kulia naibu Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Ngosi Mwihava
|