Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960351.MAKAMU WA RAIS ASAFIRI NA BOMBARDIER Q400 NEXTGEN KU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea tiketi ya kusafiria muda mfupi kabla ya kusafiri kuelekea Mwanza na abiria wa kawaida kwa ndege mpya ya Bombardier Q400 NextGen kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbalawa(kushoto) na Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania Mhandisi Ladisaus Matindi


 

<< Back to News Archive.