Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3118064.MAKAMU WA RAIS ASAFIRI NA BOMBARDIER Q400 NEXTGEN KU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu abiria waliosafiri nae kwenye ndege mpya ya Bombadier Q400 ya shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) akitokea Dar es Salaam kuelekea jijini Mwanza kwa ziara ya kikazi.
 

<< View list of News and Events.