Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960343.BALOZI WA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea Nchini Bw. Chung IL (wa pili kushoto) Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wengine ni Afisa kutoka Ubalozi wa Korea, Afisa toka Wizara ya Mambo ya nje na wa mwisho kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi


 

<< Back to News Archive.