Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955796.WARSHA YA WADAU YA KUPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea wakati wa warsha ya Wadau juu ya kujadili mikakati ya kupunguza matumizi ya mkaa Nchini iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.


 

<< Back to News Archive.