Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955713.MKUTANO WA WAZIRI MAKAMBA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akiongea na Wahahariri wa Jukwaa la Wahariri (hawapo pichani) kuhusu ziara ya mazingira aliyoifanya katika mikoa mikumi Nchini Tanzania manamo mwezi wa Novemba. Aliyeko katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi


 

<< Back to News Archive.