SIKU YA PILI: ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOANI SONGWE

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa kituo cha afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe ambacho kitahudumia wakazi zaidi ya elfu kumi, mwingine pichani ni mkuu wa mkoa wa Songwe Mhe. Chiku Galawa.[:]