Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akipokea tuzo ya Uandaaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2018 kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Pascal Karomba ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais imeshika nafasi ya tatu. Tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA). prosinac 12, 2019 Robert Hokororo 0
Naibu Waziri Mussa Sima akizungumza kwenye mkutano wa 25 wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaondelea Madrid nchini Hispania. prosinac 12, 2019 Robert Hokororo 0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli wakati wa Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yaliyofanyika Katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. prosinac 9, 2019 Robert Hokororo 0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto Katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza Desemba 08,2019 prosinac 8, 2019 Robert Hokororo 0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene (kulia) akikagua athari za mafuriko katika kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. prosinac 8, 2019 Robert Hokororo 0
Serikali za Mitaa zatakiwa kuwa na mpango mkakati katika uzoaji taka. prosinac 6, 2019 Monica Sepanjo 0
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akitoa ufafanuzi wa hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji katika ukumbi wa Chuo cha Wauguzi Kibaha Pwani. prosinac 6, 2019 Robert Hokororo 0
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akitoa ufafanuzi wa hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji mkoani Morogoro prosinac 5, 2019 Robert Hokororo 0
WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA MKUU WA SHIRIKA LA CHAKULA DUNIANI (WFP) prosinac 4, 2019 Monica Sepanjo 0
Ofisi ya Makamu wa Rais yaandaa mafunzo kwa vitendo kwa Wakufunzi wa vyuo vya VETA prosinac 4, 2019 Monica Sepanjo 0