KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA WATEMBELEA – NEMC

[:en]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira mara baada ya kutembelea Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Mikocheni, Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Suleiman Sadick[:]