MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAJENGO MAPYA CHUO CHA OLMOTONYI ARUSHA

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Ukumbi wa Mihadhara na Bweni la Wanafunzi katika chuo cha Misitu, Olmotonyi, Arusha.[:]