NAIBU WAZIRI SIMA ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI SINGIDA

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mwl. Mussa Sima akihutubia wakazi wa Manispaa ya Singida waliojitokeza katika mkutano wa hadhara kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili na kutafuta namna bora ya kuzipatia ufumbuzi kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa.[:]