WARSHA YA WADAU KWA AJILI YA KUPITIA RASIMU YA RIPOTI YA HALI YA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU.

[:en]Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Paul Sangawe, akisoma hotuba ya ufunguzi wa Warsha hiyo ikiwa anamuwakilisha Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais.[:]